JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
📚 TEACHING & LEARNING MATERIALS
MFUMO WA NYENZO ZA KUFUNDISHIA NA KUJIFUNZA
TLM Tanzania Teaching & Learning Materials
📚 Menyu
Inaendeshwa na AI — SEQUIP/TIE Tanzania

Tengeneza Nyenzo za Kufundishia
kwa Msaada wa AI

Jenereta za Scheme of Work, Lesson Plan na Logbook kwa Shule za Msingi na Sekondari Tanzania — zinafuata mtaala wa SEQUIP/TIE. Haraka, sahihi, na bila login!

0
Schemes
0
Lesson Plans
0
Teachers
0
Logbook Entries
0
Lesson Notes
Vipengele

Kwa Nini Utumie TLM Tanzania?

AI-Powered Generation

Tumia AI (Groq/Llama 3) kuzalisha Scheme of Work na Lesson Plan kwa sekunde. Fuata kikamilifu format ya SEQUIP/TIE Tanzania.

Mobile Friendly

Fanya kazi kutoka simu yako — interface imeundwa kwa ajili ya skrini zote. Hakuna haja ya kompyuta.

Export PDF & Word

Pakua kazi yako kama PDF au Word document iliyopangwa vizuri. Tayari kuchapishwa au kuwasilishwa.

Hifadhi & Rejesha

Kazi zote zinawekwa kwenye hifadhi. Ukirudi, chagua "Load Saved" kuendelea mahali ulipoishia.

Dark Mode

Bonyeza ikoni ya mwezi/jua kugeuza rangi. Rahisi machoni — usiku au mchana.

Bure Kabisa

Hakuna malipo yoyote. Tumia bure kwa ajili ya kuandaa nyenzo zako za kufundishia. Inaendeshwa na Wizara ya Elimu.

PORTAL MPYA

📊 Matokeo ya Mitihani — School Results

Walimu wanaweza sasa kupakia matokeo, kuzalisha PDF, na kushare links za matokeo kwa wanafunzi. Mfumo mpya wa School Results umefunguliwa kwa walimu wote!

  • ✅ Pakia matokeo — Upload marks kwa kila somo
  • ✅ Generate PDF — Matokeo yako tayari kuchapishwa
  • ✅ Share links — Wanafunzi watafute matokeo kwa token
  • ✅ Free — Hakuna malipo, fungua akaunti bure
Fungua School Results Portal Waambie walimu wenzako!
Jinsi Inavyofanya Kazi

Hatua 3 Rahisi

1
Jisajili

Weka jina, namba ya simu, na shule yako. Hakuna password — tunakutambua kwa namba yako.

2
Chagua na Bonyeza

Chagua darasa, somo, mada — kisha bonyeza "Generate". AI inafanya kazi yake.

3
Pakua au Hifadhi

Pakua kama PDF/Word au hifadhi kwenye mfumo. Rejea wakati wowote.

Walimu Wanasema

Maoni Kutoka Kwa Walimu Halisi

""Sawa kiongozi tutahakikisha tunafanya maboresho ili mfumo uweze kuwa nyenzo Bora ya matumizi kwa walimu"

A
Admin Isingiro

"Mfumo uko vizuri maana unaendana kabisa na matakwa ya mtaala mpya sambamba na hilo hata na soko la elimu Duniani Kwa sasa uko sambamba kabisa Cha msingi tu uwekwe imara usiwe mfumo ambao ni dynamic na kuyumba Kwa urahisu"

E
Elibariki Emanuel Marika

"Sawa tutafanya hivo"

A
Admin Isingiro

"Mfumo mzuri mtengeneza video for demo"

R
Rasuli Ally Magungu

"sawa haina shida"

R
ROBERT HAYUKA MALINYI SEKONDARI

"Ndugu walimu tunaomba muwe wavumilivu Kwasababu kwenye kugenerate Kuna tatizo limetokea la API kwahiyo tunaweka sawa"

A
Admin Asingiro

🚀 Anza Sasa Hivi

Hakuna usajili wa muda mrefu. Bonyeza kitufe ili kuanza kuzalisha nyenzo zako za kufundishia.

Scheme of Work Lesson Plan